Pages

Sunday 1 December 2013

ANGALIA PICHA ZA T.SHIRT NINAZOUZA NI ZA KIUME #BOMOA BOMOA:

#TeamBomoa Bomoa Kwa wale walio tayar kusupport Haraka za #mwanamke piga simu namba 0718109106, utaongea moja ka moja na muhusika wa T.SHIRT ili tuone unaipaje: ni elfu 20 zA Kitanzania kwa t.shirt moja> kwa jumla inapungua Bei>
 
Angalia Disgn nyengine za T.sirt zangu hapa chini click read more

Thursday 21 November 2013

PICHA INTERVIEW HITS FM RADIO KWA AJILI YAKO ZICHEKI HAPA;

Baada ya kupata Interview mbali mbali za simu, juzi kati, nilipata mualiko tena kwenye radio nyengine Hits Fm kutoka kwa Mtangazaji wa kipindi cha Bongo Zone 2Point, Hizi picha nilikua kwenye Interview Katika Radio ya '#Hits_fM zAnzibar, And here are some of my picture take a look, nawapenda sana:
Endelea kuziangalia hapa chini picha zingine nyingi tuu Mtu wangu wa nguvu:

Saturday 9 November 2013

PICHA WAKATI NIPO BOMBA FM RADIO LEO ZICHEKI HAPA;


GURU G LOVER & ME
 Baada ya kutoka Ziara ndefu ya kimuziki nchi za Uarabu, nimerudi nyumbani Zanzibar salama nashkur, pia naskur kwa wale wote ambao mlikua mkiniombea usiku na mchana nirudi salama, leo nilikua kwenye Interview Katika Radio ya bOMBA fM zAnzibar, And here are some of my picture take a look, nawapenda sana:
Endelea kuziangalia hapa chini picha kibao Mtu wangu wa nguvu:

Saturday 2 November 2013

VIDEO YA BERRY BLACK FT ALI KIBA HII HAPA:

Asante my brother Berry Black wewe kweli ni mfalme wa Zanzibar, Nice video, nice location, nice audio and new look, you did it my bro:
check this Video by Berry Black ft Ali Kiba - Ishara Zangu
TOA MAONI YAKO HAPA:

Saturday 12 October 2013

VIDEO YA KIMUGINA YA LINEX KUZINDULIWA WEEK IJAYO:

Mwimbaji nyota wa Bongo fleva,Linex ametangaza kukamilika kwa video ya wimbo wake mpya wa Kimugina.
video hiyo ilitengenezwa chini ya director Adam juma wa visual lab.
na mwanadada atakayeonekana ndani ya video hiyo ni mrembo Jck cliff aliyewahi tesa kwenye video ya Ngwair,she got gwan na nataka kulewa ya Diamond.
Video inatarajiwa kuzinduliwa week ijayo kwenye ukumbi wa Amassadors lounge jijin Dar es salaam.
akisindikizwa na Chid benz,Recho,Amin na Barnaba pamoja na Stara Thomas.
creadit teamTZ
TOA MAONI YAKO HAPA:

WAKAAZI:VIDEO YA TOUCH IKO TAYARI THE VIDEO IS NICE:

Rapper mwenye uwezo mkubwa wa kutumia lugha mbili ‘bilingual’ Webiro N. Wasira maarufu kama Wakazi amesema video ya wimbo wake ‘Touch’ iko tayari na anajiandaa kuiachia ili watu waweze kuiona akianza na watu wake wa karibu na wadau wa media.
Wakazi amefunguka katika kipindi cha ‘The Chat’ cha 100.5 Timesfm kinachoendeshwa na Ezden Jumanne a.k.a Ezden The Rocker jumamosi saa nne kamili asubuhi hadi sita kamili mchana.
“Ebana video ya Touch iko tayari na maandalilzi yako fresh, editing na kila kitu kimeshafanyika so kilichobaki hapa sasa hivi naandaa just like planning kuhakikisha kwamba nairelease proper watu waweze kuiona ili. Mostly watakuwa watu wa media, watu wa radio, television, watu wa newspapers na blogers na watu wengine wa karibu waweze kuiangalia halafu baada ya hapo tutaiweka online and then tutaipeka kwenye different media as well,  kuhakikisha tunai-premier huko pia.”
Wakazi ameielezea kwa ufupi video yake kuwa ni video nzuri na kwamba kazi waliyoifanya ni kubwa na kwamba hatawaangusha fans wake. “ The video is nice and I’m happy kwa sababu tulifanya kazi ya ziada and the song is doing well and shout out to Timesfm kupitia ‘The Chat’, na watu wote wanaousikiliza wimbo na kuupenda pia.
(picha/habari Timesfm)
TOA MAONI YAKO HAPA: