Pages

Friday 30 August 2013

DIAMOND APIGA BONGE LA SHOW SERENA KABLA YA UZINDUZI WA VIDEO YAKE:

  Baada ya kuzagaa kwa stori za hapa na pale kuhusiana uzinduzi wa Video ya Diamond platnumz, hatima jana kazi ilimaliza pale serena hotel, baada ya kuoneshwa kwa mara ya kwanza kwa watu maalum, walichaguliwa kwa kupewa kadi, lkn pia kabla ya kuoneshwa video hiyo DIAMOND alidondosha bonge la show la hatari pale pkwa stage, check uone ilivyokua:

Wednesday 28 August 2013

(PICHA) WAKATI TUNASHOOT VIDEO YANGU YA BOMOA BOMOA ft BOB JUNIOR:


 Hope mko poa watu wangu tunaopeana support kila kukicha, leo niliahidi kutupia baadhi ya picha ambazo zilipigwa wakati wa #video shooting ya nyimbo yangu ya Bomoa Bomoa, so kama vip jiachie hapa kuzicheki as i promise you, the video gonna be very good ,  stay calm,:
picha zingine zipo hapo chini endelea kuangalia usisahau kuacha comment yako, naahidi kuifanyia kazi: click read more:

USIJIULIZE VIDEO YANGU YA BOMOA BOMOA ft BOB JUNIOR ITATOKA LINI., JUST SOMA HAPA:

Ni siku nyengne tena, namshukur allah kuniweka salama si kwa kua mimi ni hodari zaidi ya wengne wanao umwa hapana, ila ni kwa mapenzi yake na makusudio yake mwenyewe na kwa sababu pia habagui mtu, namuomba pia awape afueni wale wanaoumwana majumbani na mahospitalini:
Kikubwa leo kilichojiri ni kutaka kukujulisheni kua ile #VIDEO yangu ya Bomoa Bomoa ft Bob Junior ipo mwishoni mwishoni kumaliza kwa mujibu wa director wa video iyo G-lover, amenambia ndani ya wiki ya pili ya mwezi ujao itakua ipo hewani, keep waitin kwa ajili ya video kali sana, i saw it kidogo tuu;

Kaa humu humu soon tuu nitakuwekea baadhi ya picha wakati tuna shoot #Video:

#NAWAPENDA SANA fans n friends:
TOA MAONI YAKO HAPA:

Monday 26 August 2013

PICTURE OF THE DAY | PICHA YA SIKU YA LEO NDO HII HAPA @DUBAI

Alhamdulilah namshukur m/mungu aliye tuumba mimi na wewe pamoja na vilivyomo dunia hii, pili mama angu mzazi Pamoja na familia kwa ujumla, tatu na wewe shabiki yangu wa nguvu, ambaye umeanza kunikubali tangu uliposkia tuu nyimbo zanzgu na mpaka sasa, endelea hivyo hivyo kwani bado naihitaji support yako, niko nje ya Nchi kama nilivyo waarifu tangu awali na bado naendelea kupiga kazi hakuna kulala ni kuonesha tuu km na sisi tunaweza music na wakaukubali,show day after day ila nawamis sana watu wangu wa nyumbani Tanzania/Zanzibar, lkn ndo ivyo kazi imenibidi niendelee kubaki huku, endeleeni kuniombea dua,. niwe na afya nzuri ili nifanye kilichonileta huku then nirudi nyumbani salama:
Nikirudi I promise you Guyz Nitadondosha bonge la show la "WELCOME HOME BABY JAY":
#TUOMBEANE SALAMA TU 
mwaaaaah all
TOA MAONI YAKO HAPA:

(AUDIO)SHORTGUN ft RICO SINGLE & ALOYNEM - NAUMIA ROHO:


TOA MAONI YAKO HAPA:

Wednesday 14 August 2013

KUMBE NINAYO SAUTI YA RIDDIM & SOUL,(SWEET REGGE) CHECK VIDEO HAPA THEN UNIPE COMMENT ZAKO:

Ni ngoma ambayo nilishirikiswa na Lil ghetto, inaitwa "Mimi na Wewe" kama hujawahi kuisikia ni sweete regge flani hivi, awali nilihisi kama sitoiweza vile lakini baadhi ya watu wa karibu wamenambia i did it vile inavyotakiwa, ila wao nawaachia nataka leo wewe shabiki yangu wa nguvu uiskilize na kuiangalia then uache comment zako hapo chini, kutokana na sauti yangu ndani ya ngoma iyo naahidi kuzifanyia kazi bila wasi wasi wowote ule comment zenu:
CHECK VIDEO HAPA

TOA MAONI YAKO HAPA:

( VIDEO ILIYOKUA INASUBIRIWA KWA HAMU SANA) HAMMER Q & SALHA (MR&MRS) - "WAPENDANAO" HII HAPA:



TOA MAONI YAKO HAPA:

Saturday 10 August 2013

PICHA 5: SULTAN KING ASHEREHEKEA SKUKUU YA EID NA FAMILIA YAKE WAKIWA MJINI LONDON

SULTAN KING ,MKEWE NA MTOTO WAO;
 Katika kile kinacho itwa kufurahia skukuu ya Eid, Msanii wa bongofleva zanzibar SULTAN KING, ameamua kushare picha zake akila bata za skukuu huko london na familia yake. Jamaaa yuko sawa kwa sasa, na hivi karibuni licha ya kua LONDON ameachia  ngoma yake mpya ambayo imeanza kufanya vizur, as soon as possible itapatikana hapa hapa: Take a look at these picha hapa chini: