Pages

Saturday 27 July 2013

HII NYIMBO MPYA YA BERRY BLACK IMEONESHA KWELI JAMAA NI MFALME HEBU ISIKILIZE HAPA:

Kati nyimbo alizotoa mfalme Berry black mwaka huu, BASI hii ya sasa imezidi kudhihirisha kama Berry ni  Mfalme wa hii kitu, mi si mchoyo hebu download na wewe uisikilize hii Joint mpya ya BERRY BLACK ft ALI KIBA - ISHARA ZANGU:
TOA MAONI YAKO HAPA:

Friday 26 July 2013

MIMI SI MWANA HIP HOP LKN HUYU JAMAA NIMEMUELEWA SANA HEBU MSIKIZE HAPA:



TOA MAONI YAKO HAPA:

HATA MIMI NAUSUBIRI KWA HAMU UJIO MWENGNE WA DADA HUYU:

Mwanadada RAY C almaarufu Malkia wa Kiuno bila mfupa, yupo njiani kurudi kwenye gemu, hiyo imethibitika baada ya mwenyewe kuweka wazi hilo kupitia Mitandao ya kijamii, Baada ya kua kimnya kwa muda mrefu kutokana na matatizo aliyokua nayo sasa ametahabarisha rasmi ataingia kwenye gemu la music tena mwezi wa.........

Thursday 25 July 2013

CHECK PICHA ZA SULTAN KING ALIPOKUA AKIWASILI NDANI YA "SPORA SHOW" LONDON:

 Masanii wa Zanzibar Tanzania Sultan King yupo nje ya nchi kwa ajili ya SHOW mbali mbali alizo alikwa huko lkn pia alipata nafasi ya kufamnya interview na SPORAH NJAU, Kwenye kipindi cha SPORAH SHOW Sehemu ambayo wasanii wengi wa AFRICA wana ndoto za kufika na kufanya interview hapo mdada Spora Njau:Video ya Interview hiyo ambayo pia alikuepo Mr blue na NAJ itapatikana hapa hapa BABYJ BLOG endelea kuitembelea kila siku mtu blog hii wangu:

Zifuatazo ni baadhi picha za SULTAN KING alipokua akiwasili ndani ya mjengo wa SPORAH kwa ajili ya INTERVIEW: >>>>

Thursday 18 July 2013

PICTURE OF THE DAY | PICHA YA SIKU YA LEO NDO HII HAPA

Alhamdulilah sifa zote njema anastahiki mola muumba wa kila kitu duniani,
pia namshkuru m/mungu kwa mimi pamoja na familia yng kuwa wazima mpaka sasa, kwani sisi sio kwamba ni wabora sana bali tuu ni mapendekezo yake yeye, lkn pia nawaombea wale wate amabao kwa sasa wapo vitandani, mahospitalini na wote wanaouguliwa m/mungu  atawapa afueni na mioyo ya subira:
NAKUPENDENI SANA FANS WANGU: mwaaah and RAMADHAN KAREEM to all

YOUR COMMENT HERE:

Thursday 11 July 2013

HICHI NDICHO NINACHOTARAJIA KUKIFANYA BAADA YA KUIACHIA BOMOA BOMOA:

Kabla ya yote napenda kumshkuru m/mungu kwa kutueke hai mpaka sasa hivi mimi, wewe, pamoja na wengne,
Then  leo ningependa nikujulisheni ninachotaka kufanya hivi karibuni, m/mungu akitujaalia nategemea kufanya VIDEO ya nyimbo yangu BOMOA BOMOA na BOB JUNIOR soon or later itakua hewani lkn pia nitakujuzeni ni kampuni gani ndio watafanya VIDEO hiyo na pia natumai Jumamosi nitafanya utambulisho wa nyimbo yngu ya bomoa bomoa ndani CLOUDS FM with ma boy MCHOMVU  so usikose kuskiliza RADIO siku iyo coz kuna mengi sana nitafunguka kwenye interview, unayo yajua na usiyo yajua:
Asanteni sana mashabiki wangu jua nyinyi  ndo uhai wa mziki wangu: 
Endeleeni kutembelea blog hii hii kujua mengi yatakayo happen juu yangu:
YOUR COMMENT HERE:

Monday 8 July 2013

PICTURE OF THE DAY | PICHA YA SIKU YA LEO NDO HII HAPA

YOUR COMMENT HERE:

NYIMBO HII NILIIMBA KWA HISIA SANA - MOYO WANGU UMECHOKA ft PASHA

YOUR COMMENT HERE:

SHARE THIS POST

SALAAM ZANGU KWA MASHABIKI WANGU WOTE NI HIZI:


Kwanza ashukuriwe M/mungu muumba  bila yeye pasingekuwepo mimi wala wewe,
Pili, tuwaombee wale wote ambao wapo mahospital kwa magonjwa mbali mbali M/mungu awape afueni na afya njema,
Tatu, kikubwa nilichota kukwambie jamani wapenzi wangu 
NAKUPENDENI SANA, na NAJISKIA FARAJA SANA KUWEPO WATU WANAONIKUMBALI NA WANAONIPA SUPPORT KWA KILE NINACHOKIFANYA KWENYE KAZI ZANGU ZA MUSIC NAWAOMBA MSINIACHE MKONO:
NAKUPENDENI SANA NA MOLA AWALINDE KWA KILA KITU JAMANI:
aamin...
YOUR COMMENT HERE:

BABY J ft BANANA ZORO - MPENZI WANGU


YOUR COMMENT HERE:

DOWNLOAD - BABY J ft BOB JUNIOR - BOMOA BOMOA


YOUR COMMENT HERE:

BABY J ft ALI KIBA - BWASHEE

br /> YOUR COMMENT HERE:

Saturday 6 July 2013

(PICHA)BAADA YA KUMALIZA KUPIGA SHOW YA ZIFF NIKASHUKA NA KUPIGA PICHA NA FANS:


ALHAMDULILAH nina mshukuru allah kwa kuniwezesha kumaliza SHOW ya ZIFF salama,nikiwa mzima wa afya, yeye ni kila kitu anastahili kushukuriwa kwa kila kitu na popote,Nikiwa ndani ya baibui kama Bi kidude sababu niliimba na nyimbo zake live pia, Zifuatazo ni picha baada ya kumaliza show nikiwa na Baadhi ya fans WANGU, nawapenda fans wangu sana zaidi sana na ndo maana popote tutapiga picha, tutakaa tutaongea na kubadilishana mawazo CHECK picha VIDEO soon NITAWEKA msijali:

(PICHA) BAADA YA KUWASILI NGOME KONGWE USIKU WA ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL:

Baada ya pirika p[irika za mchana kutwa ma interview mbali mbal;i kwa ajili ya show ya ZIFF hatimae time ikafika, nikajikoki kuelekea ngome kongwe taratibu huku ndani ya gari nikiwa na STAFFS wangu, ili tufike salama mwendo haukua wa kasi: sifuatazo ni picha baada ya mimi kuwasili ngome kongwe:

Nje ya ngome kongwe nilikutana na LINAH, na tukapiga picha za ukumbusho wa show:

NILIPOWASILI KATIKA HOTEL YA SAYYIDA ZNZ KWA AJILI YA MKUTANO NA WAANDISHI:

Namshkur allaah mpaka sasa nahema kwa uwezo wake lkn pia niwaombee na wenzangu ambao hawapo wazima allah awape afueni, Juzi kabla kwenda kufanya show ile ya usiku, nilikwenda katika hotel moja hapa mjini zanzibar kwa ajili ya mkutano na waandishi wa habari sikua peke yangu na LINAH pia alikuepo, na zifuatazo ni picha zangu na lina check:

Thursday 4 July 2013

SNURA AFANYA MAJANGA TANGA NA MAPACHA WANNE KWENYE KILI TOUR

 
Msanii wa kike anaetamba na wimbo wa majanga EAST AFRICA amewashangaza sana wakazi wa tanga pale alipoingia kwnenye stage na wacheza show wanne ambao wote ni mapacha wanaofanana kila kitu.Maswali yalikuwa mengi sana kwa snura kwanini aliamua kuwa na mapacha watupu kwenye sehemu ya wacheza show wake? alipoulizwa alijibu
SHARE THIS POST VIA