Pages

Friday 27 September 2013

kipindi cha Wema kuanza kuruka hewani kwenye kituo cha TV cha EATV

Kile kipindi cha Reality Show ya maisha ya mwigizaji Wema wepetu ambacho hapo mwanzo kilipangwa kuanza kuoneshwa na kituo cha TV cha Clouds cha jijini Dar es salaam, sasa kitaanza kuonekana kwenye kituo cha EATV kuanzia mapema mwezi ujao.
Kwa mujibu wa taarifa za mtandao toka kwenye kituo hicho cha TV ambazo hazijaelezea sababu hasa za kipindi hicho kuamia kwenye luninga hiyo zinasema kuwa, fans wa mwanadada hyuo wake tayari kwa ajili ya show hiyo ya kwanza na aina yake bongo.

Wednesday 18 September 2013

(DOWNLOAD AUDIO) RICH MAVOKO - ROHO YANGU


TOA MAONI YAKO HAPA:

EXCLUSIVE CLIP YA VIDEO DIAMOND PLATNUMZ AKIFANYA MAZOEZI YA LIVE BAND:

Katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii nilifanikiwa kuinasa Hii clip  kwenye mtandao mmoja ambao nina imani cliphii ameupload mwenyewe Diamond kwa sababu ni ya ndani sana na hakuana ajuae, iangalie lakin usisahau kutoa comment zako na wewe, japo ipo kidogo sana:
unafikiri ATAWEZA kuitendea haki??? funguka na comment zako baada ya kuingalia: TOA MAONI YAKO HAPA:

Sunday 8 September 2013

TUSKER PROJECT FAME (TPF) YASAKA VIPAJI TANZANIA:

Usahili wa kusaka vipaji vya kuimba kupitia mashindano makubwa kabisa ya Tusker Project Fame 2013, unaendelea na siku ya leo Jijini Dar es Salaam pale Makumbusho ya Taifa kuanzia saa 2 kamili asubuhi.

Hii ni nafasi kwa wale wote ambao wana kipaji cha kuimba kutimiza ndoto zao na kufanikiwa kimuziki, na msisimko mkubwa kutoka usahili wa mwaka huu, Ni ushiriki wa Mzee Ally Zahir Zorro kama moja ya majaji.


Vipaji vitakavyopatikana kupitia usahili huu, vitaingia katika mchuano sambamba na washiriki kutoka nchi nyingine za