Pages

Thursday 21 November 2013

PICHA INTERVIEW HITS FM RADIO KWA AJILI YAKO ZICHEKI HAPA;

Baada ya kupata Interview mbali mbali za simu, juzi kati, nilipata mualiko tena kwenye radio nyengine Hits Fm kutoka kwa Mtangazaji wa kipindi cha Bongo Zone 2Point, Hizi picha nilikua kwenye Interview Katika Radio ya '#Hits_fM zAnzibar, And here are some of my picture take a look, nawapenda sana:
Endelea kuziangalia hapa chini picha zingine nyingi tuu Mtu wangu wa nguvu:

Saturday 9 November 2013

PICHA WAKATI NIPO BOMBA FM RADIO LEO ZICHEKI HAPA;


GURU G LOVER & ME
 Baada ya kutoka Ziara ndefu ya kimuziki nchi za Uarabu, nimerudi nyumbani Zanzibar salama nashkur, pia naskur kwa wale wote ambao mlikua mkiniombea usiku na mchana nirudi salama, leo nilikua kwenye Interview Katika Radio ya bOMBA fM zAnzibar, And here are some of my picture take a look, nawapenda sana:
Endelea kuziangalia hapa chini picha kibao Mtu wangu wa nguvu:

Saturday 2 November 2013

VIDEO YA BERRY BLACK FT ALI KIBA HII HAPA:

Asante my brother Berry Black wewe kweli ni mfalme wa Zanzibar, Nice video, nice location, nice audio and new look, you did it my bro:
check this Video by Berry Black ft Ali Kiba - Ishara Zangu
TOA MAONI YAKO HAPA: