| Hapo tukiwa tunaskiliza swali kwa makini sana kutoka upande wetu wa kushoto: |
| Hapa ni wakati nikifafanua jambo kwa undani zaidi, swali lilikua limeul;izwa kuhusu marehemu bi kidude |
| LINAH ni mcheshi sana jamani licha kuwa alikua akijibu maswali lkn hakua nyuma kutufanya tutabasam kila wakati akizungumza. |
| nilikua free sana licha ya kuwepo waandish wa habari wa kimataifa: |
| Ikafika wakati wa kuwapa akapela ya kile kitakacho fanyika usiku, km kawaida yng kazi popote nikayafanya mambo kuimba na kucheza hapo hapo: |
| Hapa ilikua wakati wa linah na yeye akitoa acapela,akacheza na kuimba |
| Tumemaliza hapa, lkn vichwa vimoto, kuna watu wanajua kuuliza maswali: |
0 comments:
Post a Comment