Pages

Saturday, 6 July 2013

(PICHA) BAADA YA KUWASILI NGOME KONGWE USIKU WA ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL:

Baada ya pirika p[irika za mchana kutwa ma interview mbali mbal;i kwa ajili ya show ya ZIFF hatimae time ikafika, nikajikoki kuelekea ngome kongwe taratibu huku ndani ya gari nikiwa na STAFFS wangu, ili tufike salama mwendo haukua wa kasi: sifuatazo ni picha baada ya mimi kuwasili ngome kongwe:

Nje ya ngome kongwe nilikutana na LINAH, na tukapiga picha za ukumbusho wa show:

Wakwanza ni mmoja kati ya madancer wangu anaitwa sureya,aliyesimama ni Chala na kazi yake ni kuhakikisha naonekana mrembo(uzuri nimezaliwa nao)

Hapa chala akiweka sawa kila kilichopungua ikiwemo rangi ya mdomo na nini nanini (Backstage)

Hee Chala weee basi tena, kweli kila mtu na kazi yake, hataki kuharibu kazi yake..asnate chala

mimi, Mc wa show "MUSLIM JAZZ" na my friend "MARIANA" Hope unamjua kama humjui tafuta video ya t.i.d kabla ya kiuno ile ya nyuma yakle;

with linnah again

YOUR COMMENT HERE:

0 comments:

Post a Comment