Masanii wa
Zanzibar Tanzania Sultan King yupo nje ya nchi kwa ajili ya
SHOW mbali mbali alizo alikwa huko lkn pia alipata nafasi ya kufamnya interview na
SPORAH NJAU, Kwenye kipindi cha
SPORAH SHOW Sehemu ambayo wasanii wengi wa AFRICA wana ndoto za kufika na kufanya interview hapo mdada Spora Njau:
Video ya Interview hiyo ambayo pia alikuepo
Mr blue na
NAJ itapatikana hapa hapa
BABYJ BLOG endelea kuitembelea kila siku mtu blog hii wangu:
Zifuatazo ni baadhi picha za
SULTAN KING alipokua akiwasili ndani ya mjengo wa
SPORAH kwa ajili ya INTERVIEW: >>>>
YOUR COMMENT HERE:
0 comments:
Post a Comment