Kwanza ashukuriwe M/mungu muumba bila yeye pasingekuwepo mimi wala wewe,
Pili, tuwaombee wale wote ambao wapo mahospital kwa magonjwa mbali mbali M/mungu awape afueni na afya njema,
Tatu, kikubwa nilichota kukwambie jamani wapenzi wangu
NAKUPENDENI SANA, na NAJISKIA FARAJA SANA KUWEPO WATU WANAONIKUMBALI NA WANAONIPA SUPPORT KWA KILE NINACHOKIFANYA KWENYE KAZI ZANGU ZA MUSIC NAWAOMBA MSINIACHE MKONO:
NAKUPENDENI SANA NA MOLA AWALINDE KWA KILA KITU JAMANI:
aamin...
YOUR COMMENT HERE:
0 comments:
Post a Comment